wanawake wa kizanzibari wanajua kupenda.ila dunia ya leo kidogo imebadilika.kwa mapishi ndio wenyewe,na wanajua kubembeleza mapenzi,na katika.i ndoa ni wavumilivu sana.ila tatizo lao wanapenda kuwa house wife,kidogo si watu wa kupenda kazi.Ukiwa nae ndani,utahudumiwa haswa.Utapewa huduma zote