Dogo wangu katika ubora wa kula!

Warren T

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
664
409
9a562f1b9a56489c03d7a8de176050cc.jpg
 
hiyo ndio raha ya mtoto
msipende kuweka Lotion au mafuta mgando na mara ukimpa uji unamuwekea vitu kama hivyo
 
Mama mtu ukute alikopa hayo mafuta , afu katoka mihangaikoni anarudi anakuta hivo, nahisi kachoka akaamue akapige picha tu kupoza maumivu
 
Back
Top Bottom