Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 May 29, 2013 #1 Sijui anamtishia nini mjeshi huyu!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,629 May 29, 2013 #2 Dogo hapo kitete...baada ya muda lazima aachie zigo bila kupenda!!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 May 29, 2013 #3 Hii ilitokea kenya bana wakati wa uchaguzi...........
Zekidon JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,903 Reaction score 569 May 29, 2013 #4 mtwara hakuna slums kama hizo, acha uzushi mkuu
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 May 29, 2013 Thread starter #5 Zekidon said: mtwara hakuna slums kama hizo, acha uzushi mkuu Click to expand... Umewahi kufika au unalalama tu? Na unajuaje kuwa hiyo ni slum?
Zekidon said: mtwara hakuna slums kama hizo, acha uzushi mkuu Click to expand... Umewahi kufika au unalalama tu? Na unajuaje kuwa hiyo ni slum?
Zekidon JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,903 Reaction score 569 May 29, 2013 #6 Safari_ni_Safari said: Umewahi kufika au unalalama tu? Na unajuaje kuwa hiyo ni slum? Click to expand... Siasa mbaya kwa faida ya nini, amani ikikosekana hata nyie hamtafaidi hiyo Gas
Safari_ni_Safari said: Umewahi kufika au unalalama tu? Na unajuaje kuwa hiyo ni slum? Click to expand... Siasa mbaya kwa faida ya nini, amani ikikosekana hata nyie hamtafaidi hiyo Gas