Dogo noma!

Dogo noma!

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Dogo alipanda basi akakaa karibu na dereva.Akaanza kupayuka'baba angekuwa dume na mama jike la ng'ombe ningekuwa kadume kadogo.Dereva akaanza kukerwa na kelele zake.Akaendelea,''baba angekuwa tembo na mama jike la tembo ningekuwa katembo kadogo.''Akaendelea kutaja wanyama kibao.Dereva kwa hasira akamuuliza kama babako angekuwa shoga na mama changudoa ungekuwa nani? Dogo akatabasam na kumjibu,''ningekuwa dereva wa basi''!
 
Saf sana dogo hehehehe

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom