Dogo noma huyu

nina uhakika dogo aliposema "Amen" hakumkuta hata mtu mmoja mezani...

Mkuuu unadhani alivyokuwa anaendelea kuna mtu alibaki naona hamna aliyebaki kabisa
 
...pressure! Sala nyingine hazifai kwe wenye pressure! Ila dogo c'o, alikuwa anauza ishu tu! Ime2lia

Sana kama mtu una pressure hapo unashangaa unazimia ghafla kwa sala kama hiyo
 
<br
Kwani mother aliachwa na huyo 'homeless stranger' wake? Dogo kaua kotekote, tena afadhali ya dingi. Mweh!

Sana maana mother anatoka na homeless afadhali hata ya baba kidogo
 
Naona dogo aliwaacha watu hoi vibaya sana.....
 
dogo baada ya kumaliza sala.....Alizimia ghafla,maana alikuta wote wameshazimia kitambo.

Hahahahha kabisa mkuu hapo naona kulikuwa hamna kuangaliana usoni maana ilikuwa ni balaa tu, sasa ikikutokea hii utafanyeje hivi??
 

Hii ni full dose, @mtu kapewa sawasawa na matendo yake. Dogo alipata mafunuo bab-K!! ........ni jokes ila inafunzo kwetu kama familia.
 
Hii ni full dose, @mtu kapewa sawasawa na matendo yake. Dogo alipata mafunuo bab-K!! ........ni jokes ila inafunzo kwetu kama familia.

Kabisa mkuu hii kitu ni kiboko yaani, huwa nikiisoma nacheka sana tena sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…