Dogo ni mvurugaji kwelikweli!

ana fanya kwa nafasi yake, ila sio world player Kama mnavyo aminishana.

Una mkumbuka ansu fati?, si mpaka barca wali mwekea release clause ya 1b ikawaje?
Sasa ansufati ndo umfananieshe na Yamal!

Ansu alikuwa mzuri kwenye kufunga tu ila kuna vitu vingi kaachwa mbali na Yamal.

Yamal ni pure talent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…