madei lapia
Member
- May 22, 2013
- 5
- 0
Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: Ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, Shwain!!!!