Nimefurahi sana kumuona dogo hapo mbele akiendeleza mapambano japo yalikuwa ya kupigania kikombe huko Mbeya, lakini pozi lake duh, hadi raha. Wadau CDM wako rika zote kumbe.Pipoooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! ALUTA CONT......
Hahaha safi sana. Picha kama hizi should bring fear to the fisadis because their kids will never be safe with while these are hungry.
A hungry man is an angry man!