Dogo kapoteza jiti analia

Dogo kapoteza jiti analia

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,371
[h=6]MTOTO MMOJA alikua akilia...akilia kwa nguvu!
jamaa mmoja akawa anapita akamuliza
JAMAA; Eeee mtoto mzuri nini unalia?
MTOTO; nimeeepoteza shiling mia ya..ngu.. iiiii
mtoto aliendelea kulia kwa sana jamaa ikabidi atoe hela mfukon akampa sh.mia tena.
Mtoto akazidisha kulia alivyopewa ile.
JAMAA; mbona unazidi kulia wakati nimekupa hyo hapo?
MTOTO;Nalia kwasababu nisingepoteza ile mi ya kwanza na hii uliyonipa ingekuwa sh.200.
[/h]
 
Huyo dogo inawezekan ana kichaa cha pesa, ogopa sna ht mademu type hzo wapo kila anachopewa haridhik nacho.
 
Dogo hata ukimpa buku bado ataongeza kilio tu.
 
Hahahahaaa unatisha mkuu mana nimecheka mpaka watu wanatafuta remote ili wani pause.. But haka katoto dawa yake ni kukinyang'anya hela uliompa halafu tuone aibu yake au aibu yetu?
 
Ha ha ha ha ha loh! Mtoto anajua sana hesabu huyo.
 
Dogo ni semi genious yaani kumpa hiyo sh.mia haimshawishi kuisahau aliyoipoteza,hata umpe milioni haweziisahau hiyo mia!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom