"Kuligonga" tungo tata mazee. Funguka.Hili dada kuna siku nilikutana nalo hotel moja hapa Dar, nikaligonga aisee hadi mwili ulisisimka
Dogo jilie mzigo taatiib; wenye wivu......
Yani hili li Dada nazan janjaro anaanzia kupiga deki kwenye unyayo hadi uvinza ...daaahh aseee mwacheni tuu ngarenaro apige kiterero[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Si umeshapiga balimi lazima ulione zuriMmmh mbona kama linaonekana zuri saizi!!?
Hahahaaa kama ulikuwepo mkuu. Nina chupa zima la magic moment hapaSi umeshapiga balimi lazima ulione zuri
....Juzi nilipita Moshi na Arusha aisee jamaa ni wabunifu, konyagi jibapa wanapima kwenye toti za mia tano na za buku...Viroba bado vipo mitaani
Hotel ya ndotoniSi ndio mwili ukabaki umesisimka aisee
age is nothing, it's just a number.Wenyewe wanasema age is just a number
Hahahahaaaaaaage is nothing, it's just a number.
mwenye umri wa miaka 12=na mwenye 21. (ni kuchezesha tu namba ipi ianze, ipi ifuatie)
Haaah aahHili dada kuna siku nilikutana nalo hotel moja hapa Dar, nikaligonga aisee hadi mwili ulisisimka
Style nzuri sana hii
Mkuu ni Tanzania nzima kwa sasa,mbadala wa kiroba umekuwa toti tena TDL wametoa kabisa grasi zao za kupimia...zama zmerud kama mwanzo jero unajibust...!wakurupukaji oyeee[emoji15]....Juzi nilipita Moshi na Arusha aisee jamaa ni wabunifu, konyagi jibapa wanapima kwenye toti za mia tano na za buku...
[emoji23] [emoji106]Mkuu ni Tanzania nzima kwa sasa,mbadala wa kiroba umekuwa toti tena TDL wametoa kabisa grasi zao za kupimia...zama zmerud kama mwanzo jero unajibust...!wakurupukaji oyeee[emoji15]