Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 803
- 1,284
Wakuu nilikuwa kwenye duka moja hivi hapa mjini nikajikuta natingisha kichwa changu kwa madaha yote mara baada ya kusikia mziki mzito uliokuwa unatoka kwenye redio.
Sikujua ni nyimbo ya nani mpaka ikaisha ndo nikauliza nikaambiwa eti ni dogo janja,nilibishaaaa sana maaana nyimbo ilikuwa taamu,message nzuri kabisa,mdundo swaafi kabisa halafu swaga za kumwaga.
Kweli dogo janja karudi kwenye mziki ..kaza buti ivyo ivyo dogo live your life...
anaeweza kuweka link anisaidie maana nimeshindwa kutupia link hapa.
...[HASHTAG]#mylife[/HASHTAG]