Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,609
HahahahaHadi Dogo janja [emoji23]
Hahaahaa....Dunia simama nishuke,nimeamua kukatisha safar!
Hivi huyu mtoto anayejiita Dogo Janja ana umri gani?Nasikia mtoto ni wa Dogo Janja kumbe hahahhaaa
Utoto ulishaisha, sasa anamiliki "mzigo" mzito sanaHivi huyu mtoto anayejiita Dogo Janja ana umri gani?
Nimeuliza umri wake.Utoto ulishaisha, sasa anamiliki "mzigo" mzito sana