Dogo hapana kuogopa mtu

Pinda sura mbaya limemshuka, kazidi uwa mzee, kawa mdogo sio kuliko piriton bali Digoxin, Lazima huyu Babu ni mwanga.
 
Facial expression za watuhumiwa wengi jana zilibeba guilty uoga na kuchanganyikiwa
 
Hivi mtoto wa mkulima hakulia jana kama kawaida yake??
 
halafu uyu mizengo jeuri sikuizi sijui anaipata wapi,halii tena naona pesa ya escrow imempa jeuri,asubuhi bungeni amesema bado hajaaamua kujiuzulu mpaka bunge liishe
 
halafu uyu mizengo jeuri sikuizi sijui anaipata wapi,halii tena naona pesa ya escrow imempa jeuri,asubuhi bungeni amesema bado hajaaamua kujiuzulu mpaka bunge liishe

Duu!
Kwa hivyo watu mlikua mnategemea alie tena.
Ila sipati picha hiyo sura halafu jomba analia hadharani.
 
Pinda sura mbaya limemshuka, kazidi uwa mzee, kawa mdogo sio kuliko piriton bali Digoxin, Lazima huyu Babu ni mwanga.

utadhani kafumaniwa chumbani na mtoto wa darasa la kwanza jinsi alivyozeeka ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…