Mdudu Wa Masala
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 134
- 79
Mwita alikua amechelewa shule, alipofika mwalimu akataka kujua kwanini amechelewa, maongezi yao:
Mwalimu: mbona leo umechelewa shule?
Mwita: kuna mzee mmoja kapoteza pesa.
Mwalimu: kwa hivyo ulikua unamsaidia kutafuta au?
Mwita: hapana nilikua nimezikanyagia nasuburi aondoke!!
Mwalimu: mbona leo umechelewa shule?
Mwita: kuna mzee mmoja kapoteza pesa.
Mwalimu: kwa hivyo ulikua unamsaidia kutafuta au?
Mwita: hapana nilikua nimezikanyagia nasuburi aondoke!!