Dogo anafanya tathimini

Mtoto sijui atakachojifunza kwa mama yake ni nini? kama ni hiv!
 
Mtoto sijui atakachojifunza kwa mama yake ni nini? kama ni hiv!

Naye ataanza kukunja kiuno kama mama yake na kama ni wa kiume tayari hasara
 
Angempa huyo dogo afotoe hapo kwenye 'O'
 
Ooyooo hapa mi naona kiza tu au kwa ajili huu ni mchina huwa hazikamati picha aina hii lakini kesho nitajaribu kwa fundi nini tatizo picha haitoi
 
Mmmmh au hakujua kama kuna mtoto hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…