Dogo ana ndoto kama za Lowassa

Ni ya kweli ka mtu anabisha atembelee facebook yake.
 
Mwacheni adream high hata kina Obama si walianza hivyo hivyo kama mchezo, urais watu hawakurupuki tu you have to believe in it.
 

Kuwa na njozi si mbaya ila utekelezaji wake kwa huku tunakoenda ni mgumu.Si umesikia watoto wa vigogo wapo shule za maana na kwenye utamu wa serekali wapo na wengine wameamua kuwaanda wakwe zao.
 
Dogo can be anything be it president or a great scientist provided he is assured of his right to shelter, food, health care education etc.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…