BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,164
wewe siuliandika nyimbo ukimbaanisha mmoja?sasa umefundishwa siku nyingine andika wimbo kama unamaanisha single na na utumie neno nyimbo pale zinapokuwa mbili au zaidinashukuru mkuu kamuzu
ila asome kiingereza kitamsadia kimataifa!
Kajitetea vizuri sana huyo dogo.
Hata akina Thomas Edison elimu rasmi iliwapa taabu; na Bill Gates ni drop out. Nakubaliana na "Dogo" kuwa formal education (elimu rasmi) si kigezo pekee cha mafanikio, lkn bado elimu ni kigezo cha mafanikio. Sijakijua kipaji chake, lkn kwa Bongo fleva amepotea.
Lakini kutokuwa na formal education ni sawa na kutembea kwenye msitu wenye chui bila hata ya kuwa na mkuki wa kujihami.
Absolutely true mr. Julius, umediriki ku-shake system!Being educated never guarantee success, education & achvment r zero r/ship!We as LDCs we 'll continue starvng wc poverty coz of poor cstm we ev 2 addres t!We must change our mindset on edcation 4 dvt!
..ni kweli kabisa...hivi mashuleni kuna somo la muziki..
Sasa ndugu yangu kama ni form four failure without certificate sasa ataenda wapi??? Ndio anataka kwenda kutunga hizi ambazo hazina maudhui yoyote?? Basi badala ya kuandika hiyo bongo flavour alihitaji mshauri ili amsaidie. Kwani angemaliza hata na D mbili au tatu potelea mbali angepata cheti akaenda chuo cha music akiwa na cheti cha kumsaidia. Ndugu yangu si kweli kuwa watu huimba tu bila mpango sahihi wewe si unakumbuka tulivyotunga mashairi na ngonjera p/school?? Anahitaji mtu wa kumsaidia kumfikisha kwenye destiny yake.
Baadhi ya mistari-
Wanaofanya madudu nawatosa kwenye baraza,
wananitia aibu kwa wananchi wananikwaza,
Nilikuwa kipenzi chao hadi mkasema mi chaguo la Mungu,
Kwenye uchaguzi nikapiga bao ila leo mnaniona mchungu,
Mara mnaiba wanyama mara mnakula cha juu,
Af bado mnataka muongezewe posho huko East Zuu,
Ndo maana maana napenda kusafiri ili nipunguze stress