Nkosilorch
Member
- May 4, 2024
- 23
- 25
Kwamba arudi kwenye check namba kule na vipi mkataba aliosaini kuleAKubali matokeo
alale tena mkuuMwambie akae nyumban alale tu...anafanya kaz ili iweje
Sasa hvi ni mwezi tu umepata hiyo check numberMost definitely wewe ndiye dogo mwenyewe.
Kwa ushauri mandhari hujachukua/kupokea mshahara kwa hiyo check number, angalia sehemu utakayoona ina maslahi kwako uende huko. Wengine watakuja kukushauri zaidi.
Swali: hivi check number siku hizi zinatolewa haraka hivyo? Ninavyo fahamu mpaka kipindi cha uangalizi (probation period) kipite, mara nyingi ni miezi sita(6)
Mi mwenyewe nmeshangaa verification ya vyeti tu na check namba tayari sasa akienda kwenye hiyo taasisi hiyo check namba atapata naniMost definitely wewe ndiye dogo mwenyewe.
Kwa ushauri mandhari hujachukua/kupokea mshahara kwa hiyo check number, angalia sehemu utakayoona ina maslahi kwako uende huko. Wengine watakuja kukushauri zaidi.
Swali: hivi check number siku hizi zinatolewa haraka hivyo? Ninavyo fahamu mpaka kipindi cha uangalizi (probation period) kipite, mara nyingi ni miezi sita(6)
Kwaiyo saivi hata kama hujasaini offer letter wanakupa tu check namba na mshahara wanalipaje mtu na offer letter hajasaini au mi ndo sijaelewaSasa hvi ni mwezi tu umepata hiyo check number
Alaah, kwahiyo hakuna tena kipindi cha uangalizi?Sasa hvi ni mwezi tu umepata hiyo check number
Hiyo check namba itakuajeNenda rudisha kila kitu chao waambie rasmi umeshapata sehemu nyingine
ivi TRA wanatumia check namba??Sijakuelewa Mkuu.
Ina maana hiyo Taasisi ambako amesaini hiyo offer wao hawana au hawatumii check number?