Doggy Teamwork

Waliocheka nadhani hajaitwa wazazi bado na kama wameitwa ni kwa makosa
 
Mkuu kila mara nashindwa kupata picha zako. hutokea mara chache kwa wengine lakini kwako ni kawaida hiyo. Msaada tafadhali.

Kama watumia simu hakika hutaweza kuona au kuelewa...picha za Ndallo mara nyingi huwa ni animated gif's
 
Kama watumia simu hakika hutaweza kuona au kuelewa...picha za Ndallo mara nyingi huwa ni animated gif's

Huwa natumia desktop au laptop! Situmii kabisa Cm kwa internet. Bado nahitaji msaada.
 
Dogo wamemuharibia utulivu wake, naona alikuwa ametulia akifanya jambo kwa udadisi sana,halafu hao mbwa hata hawakugeuka kuona walichokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…