Dogfight! American THAAD vs. the Russian S-400/S-500 air defense missile systems

@FRANC THE GREAT

Wajua mahaba ya kizidi huweza sababisha upofu wa j
Kufikiri' ina maana wewe waijua Japan kuliko Pm wao ?!!
Jamaa anataka kutuaminisha kwamba watoa habari hawaijui JAPAN kuliko yeye yaani chanzo chahabari kama DW wanavyoviita vyanzo vyakuaminika vinaleta habari yakwamba kombora lilipita katika anga la JAPAN anatokea mtu mmoja tu anapinga

Bado huko huko watu wanasema kama Kombora lilitawanyika vipande vitatu likaanguka katika kisiwa kilichopo JAPAN jamaa anakataa

Kunawatu wanamatatizo sana aseeee
 
Kwahiyo reaction waliyokuwa nayo japs kwako wewe sio fact

Mimi nilidhani utaleta evidence inayoeleza kuwa habari hiyo ni uongo
aaah jamaa huyu sio hata wakubishana nae maana kama JAPAN wenyewe waliweka meeting nawakalalama nahilo tukio halaf yeye anabisha eti

Sasa sijajua anabishana nasisi ama anabishana na DW.....
 
Hujaona kama imeanguka katika kisiwa cha JAPAN cha HOKKAIDO !?

ama liliangukia huko huko Angani ?!....

Sent using My COVID-19
Limeanguka katika kisiwa ama limeangukia baharini?

Maneno yako yanapingana na taarifa uliyoileta mwenyewe. Ni dhahiri kwamba huifahamu vyema hii habari bali umeichukua tu mahali na kui-paste hapa.

Swali langu ni hili;
Anga la Japan liko ndani ya urefu upi juu ya usawa wa bahari?
 
aaah jamaa huyu sio hata wakubishana nae maana kama JAPAN wenyewe waliweka meeting nawakalalama nahilo tukio halaf yeye anabisha eti

Sasa sijajua anabishana nasisi ama anabishana na DW.....
Hahaha anajishushia heshima yake anajaribu kugeuza nyeusi kuwa nyeupe duhh!!!!
 
Limeanguka katika kisiwa ama limeangukia baharini?

Maneno yako yanapingana na taarifa uliyoileta mwenyewe. Ni dhahiri kwamba huifahamu vyema hii habari bali umeichukua tu mahali na kui-paste hapa.

Swali langu ni hili;
Anga la Japan liko ndani ya urefu upi juu ya usawa wa bahari?
Maneno yangu hayapingani nahabari ila inawezekana mawili

Eidha hujaelewa kwanini nikaikopi hio habari
Halaf mpaka kuona nimeileta hii habar yamuda sana ujue naielewa vyema pengine zaidi yaunavyoielewa wewe
Napia hujaelewa kwanini nikaileta hii habari nahisi walengwa wahii habari kuanzia tulipo anzia wameielewa nandio maana hawajaja

Swali a-unachokibishia wewe katika hio habari nikipi?!
Swali b-wewe nawaleta hio habari wapi wanaijua vyema JAPAN ?!

sijajua unabishana nanini wala sijajua unataka kuelewa kipi katika hii habari MKUU
 
Kwahiyo reaction waliyokuwa nayo japs kwako wewe sio fact

Mimi nilidhani utaleta evidence inayoeleza kuwa habari hiyo ni uongo
Reaction si hitimisho kwamba kombora lilipita katika anga la Japan.

Kinachotoa hitimisho kwamba kombora lilipita anga la Japan ni urefu ama altitude ambayo kombora lilipita katika trajectory yake.

Swali langu ni lilelile;
Anga la Japan liko ndani ya urefu gani kutokea usawa wa bahari?
 
Maneno yangu hayapingani nahabari ila inawezekana mawili

Eidha hujaelewa kwanini nikaikopi hio habari
Halaf mpaka kuona nimeileta hii habar yamuda sana ujue naielewa vyema pengine zaidi yaunavyoielewa wewe
Napia hujaelewa kwanini nikaileta hii habari nahisi walengwa wahii habari kuanzia tulipo anzia wameielewa nandio maana hawajaja

Swali a-unachokibishia wewe katika hio habari nikipi?!
Swali b-wewe nawaleta hio habari wapi wanaijua vyema JAPAN ?!

sijajua unabishana nanini wala sijajua unataka kuelewa kipi katika hii habari MKUU
Maneno yako yanapingana na habari uliyoileta. Ushahidi upo.

Wewe unasema kombora limeangukia katika kisiwa, habari uliyoileta inasema kombora limeangukia baharini. Huoni utofauti hapo?
 
Ni ujinga kushindana kutengeneza silaha za high tech na hawazitumii, ni sawa na kununua gari mpya na kuifungia ndani kisha unaiuza chuma chakavu.

Tangu nimesikia mashindano ya silaha kwa hii miamba huwa haipigani tukaona yupi ana silaha bora.

So, what is all this showing off is for?!

Publicity and marketing is the key reason for boasting by each country. Biashara ya silaha ina faida sana.
 
Maneno yako yanapingana na habari uliyoileta. Ushahidi upo.

Wewe unasema kombora limeangukia katika kisiwa, habari uliyoileta inasema kombora limeangukia baharini. Huoni utofauti hapo?
Kwaufahamu wako kisiwa kipo sehemu gani MKUU baharini kwan hakuna bahari yataifa fulani ?!

Unaijua bahari ya kusini mwa UCHINA inayozozaniwa ?!

Hio bahari iliotajwa hapo ipo katika taifa gani ?!
 
Publicity and marketing is the key reason for boasting by each country. Biashara ya silaha ina faida sana.
Ningetamani wazitumie hiyo ingekuwa publicity nzuri zaidi, kwanini hawapigani wao kwa wao tukaona nani zaidi, badala yake wanatengeneza wanatishiana tu, mwisho wanazivunja vunja vyuma chakavu.
Wapigane wao nasi tukae jukwaani tuwaangalie, nani fundi nani anavifaa vizuri na nani anajimwambafy bila sababu.
Nuclear war heads wanazo hawazitumii, hayo ma B-52 tunataka tuone hiyo stealth technology inafaida gani sio kila siku zinaishia kupaki kwa show off tu.
 
Kwaufahamu wako kisiwa kipo sehemu gani MKUU baharini kwan hakuna bahari yataifa fulani ?!

Unaijua bahari ya kusini mwa UCHINA inayozozaniwa ?!

Hio bahari iliotajwa hapo ipo katika taifa gani ?!
Umesema kwamba kombora lilianguka katika kisiwa cha Hokkaido. Si kweli! Big NO!

Na wala halikuanguka katika bahari ya kisiwa hicho.

Well,
Tazama ramani ifuatayo mahali kisiwa cha Hokkaido kilipo kisha tazama huo mshale mahali ambapo kombora lilielekea. Pia tazama eneo la bahari ya Japan lilipo (exclusive economic zone).

1594216297440.png
 
View attachment 1500963
Eti Big No

Wewe na DW nani anajua nakufatilia zaidi habari

Mimi nimesema wapi kama Kimepita katika kisiwa cha Hokkaido ?!

Mimi nimenukuu habari kwahio wewe na DW nani wajuvi zaidi ?!
 
Kwa mujibu wa kauli yako, kombora lilianguka katika kisiwa cha Hokkaido.

DW Kiswahili imesema kombora lilianguka BAHARINI katika kisiwa cha Hokkaido.

Huko ndiko kunukuu unakokusema?

DW ya Kingereza iliripoti hivi:
A North Korean missile passed over Japan early on Tuesday morning, breaking into three pieces and falling into the waters 1,180 kilometers east (about 730 miles) of Japan's northern Hokkaido Island, according to public broadcaster NHK.

Kuna maneno hapo "falling into the waters 1,180 kilometres east."

Hizo 1,180 kilometers kuelekea mashariki ni katika bahari ya Pacific ambapo ni nje kabisa ya mipaka ya Hokkaido. Ile ramani ya BBC niliyoileta awali imeonesha vizuri sana kuhusu hilo.

Yeyote asemaye kuwa kombora lilianguka katika kisiwa cha Hokkaido, si kweli. Big NO!
 
Thaad na Patroit bora hata Khordad ya Iran ilioitungua ile drone, hio mifumo ya anga ya marekani musiifananine na S za Mrusi, kila time tunaona hio mifumo ya marekani ya Israel inafeli huko M.E kwa mfano kilichotokea Saudia au Iraq ata Hamas akivurumisha marocketi ya kawaida 50 utaskia 20 yamepenya

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Hizo za Russia yenyewe imezuia nini na wapi.
 
Kwa mujibu wa kauli yako, kombora lilianguka katika kisiwa cha Hokkaido.

DW Kiswahili imesema kombora lilianguka BAHARINI katika kisiwa cha Hokkaido.

Huko ndiko kunukuu unakokusema?

DW ya Kingereza iliripoti hivi:

Kuna maneno hapo "falling into the waters 1,180 kilometres east."

Hizo 1,180 kilometers kuelekea mashariki ni katika bahari ya Pacific ambapo ni nje kabisa ya mipaka ya Hokkaido. Ile ramani ya BBC niliyoileta awali imeonesha vizuri sana kuhusu hilo.

Yeyote asemaye kuwa kombora lilianguka katika kisiwa cha Hokkaido, si kweli. Big NO!
Kwahio DW waongo halaf wewe mkweli ?!

Yaani shirika lakimataifa kama DW wanakiri halaf wewe unakana eti BIG NO

Unachekesha sana kijana
 
Back
Top Bottom