Uuuuuuuuwi! Mbona nyama nyingi sana ni tamu lakini siyo zote watu wanakula? Ya mbwa inaleta kelele kwa nini basi? Kama mnakula kuleni kimya kimya msitafute washirika. Ni kosa kumshawishi mtu kutenda dhambi!
Nimeona mkuu, halafu inaonekana flavour yake ni kiboko. Dada alisita kidogo kuonja akidai anaogopa kutapika but alivyojaribu tu wacha asifie, hii chachandu ni nouma!