You are only a drifter in the sea of life you dont know what really matters in life kuna vijana wana roho na mawazo ya kizee na wazee wana roho za ujana unataka kipi je mzee wa miaka 70 na wa miaka 60 tofauti yao nn kwanza at 39 utakuwa mzee sana kwake akiwa na 49 na atakuwa anatamaniwa na vibint vya 26yrsVi feelings naviona tena vinakuja kwa kasi ya ajabu......
nimedate na mtu tulikuwa the same age,what happened left me with a broken heart
sema hii age difference nimeiona kama ni kubwa,I just dont know for real.........
mda mwingine nahisi hivyo lakin
my BIG question is will I be able to cope his life style!!!!!!
Rafiki wapi tena, yaani umekuwa kama kiangazi....joking....tangu baridi ianze tunakiota. Tumeshakuja tumempa elimu si unajua amekuja na maelezo yanayoonyesha ana kizungumkuti.Daaah jamani my mdogo Heaven on earth ina maana grafani11 is 30!!!!!!!!jamani(sorry my mdogo its just a joke banah dont take it serious i know kwa hili uko serios mwaya)
Back to the topic huo umri wenu sio ishu kabisa labda kama wewe ndo ungekuwa unamzidi hus wako to be kwa kiasi hiko ingekuwa kazi kidogo,lakini kwa kuwa yeye hus wako ndo kakuzidi that amount sio tatizo hata kidogo,lakini huo ni ushauri tu uamuzi wako unapaswa kutegemea maoni yako kuhusu hilo,unahisi utajisikiaje ikiwa utajipa go ahead ya kuwa naye na pia je unampenda?unampenda kwa sababu zipi?ukishajiuliza na kutafakari kuhusu vipengele hivyo hope utapata majibu na kufanya maamuzi sahihi.i wish u the best mamito.
Jamani nyie akina taamu NIGGA Tamatheo Mr Rocky njooni mumshauri Heaven on earth anahitaji my your :help:.
Habari zenu wana MMU!!!!!!!
i think its my first time kuomba ushauri humu hasa kuhusiana na my personal life,
am a girl in my earlier 20"s elim yangu na nna kazi yangu kiasi kwamba I can take care of myself,
nimepitia kwenye relationship that really sucks mpaka ikabidi nijiweke Pembeni kidogo na mambo ya mahusiano,
Lakin sasa nimekuja kukutana na huyu kijana,tuliwahi ku attend workshop pamoja kipindi fulani na tukawa
kwenye category moja so hiyo ilitupa chance ya kuwa friends/collins baada ya workshop kuisha
kila mtu alienda njia yake ikabakia "HI" za hapa na pale!!!!!
hizi siku za karibuni ndio that Guy ameniibukia,sijashangaa sana cos that time I just read the signs nikajua
jamaa kuna kitu kazimikia sema hakunambiaga tu!!!!!!!
sasa what makes me worries ni age difference yetu,yeye ni amenizidi kwa miaka 10,so nikikwambia am in my
early 20's ye nae yuko in his early 30's, sometimes I find it so weird.
I'm beginning to have feelings but I find it so awkward nikiwaza age naona ana act as an adult sana
sa mi Heaven on earth naona I have a certain kind of life ambae ni tofauti na yeye sasa my worry is
will I be able to cope,cos hatujaingia ktk relationship ila naona kama ni mtu wa kuniambia the DO'S and DONT'S!!!!!!
mambo mengine he is okay,he is lookong forward to a long term commitment (mtakuwa mmenielewa hapo)
financially stable ila sitaki hiko kuwa the main reason ku enter into relationship,i just want to consider other things.
Am planning to talk to my Mum this weekend but nahitaji kujua hili ni sahihi!!!!!!
watu wa hivi wapo na maisha yao ya ndoa huwa yana WORK OUT!!!!!!
Tofauti ya early 20's na early 30's ni nzuri sana kwani mwanamme amekomaa kiakili na mwanamke anakopu kwani wanawake ni mahodari sana. Ila ya late 20's na late 30's ni mbaya kwani wote mmeshachelewa na kwa hiyo mnaingia kwenye ndoa kwa lengo moja tu la kuijaza dunia na mnasahau kabisa sehemu muhimu ambayo ni starehe katika ndoa. Usisahau kuuchunguza au kuupa nafasi moyo wako kumpenda kama yeye anakupenda tena kabla ya kuamua kuwa nae deeply.
my BIG question is will I be able to cope his life style!!!!!!
wala sio 70 years its just 10 yrs,sema the way anavyo act
kama ana ni control fulani kwamba DO this DONT do this!!!!
mambo mengine kama yapi niya consider,uko credible kunishauri
I just love the way you led things so we nishauri tu i will be grateful!!!!!
Habari zenu wana MMU!!!!!!!
i think its my first time kuomba ushauri humu hasa kuhusiana na my personal life,
am a girl in my earlier 20"s elim yangu na nna kazi yangu kiasi kwamba I can take care of myself,
nimepitia kwenye relationship that really sucks mpaka ikabidi nijiweke Pembeni kidogo na mambo ya mahusiano,
Lakin sasa nimekuja kukutana na huyu kijana,tuliwahi ku attend workshop pamoja kipindi fulani na tukawa
kwenye category moja so hiyo ilitupa chance ya kuwa friends/collins baada ya workshop kuisha
kila mtu alienda njia yake ikabakia "HI" za hapa na pale!!!!!
hizi siku za karibuni ndio that Guy ameniibukia,sijashangaa sana cos that time I just read the signs nikajua
jamaa kuna kitu kazimikia sema hakunambiaga tu!!!!!!!
sasa what makes me worries ni age difference yetu,yeye ni amenizidi kwa miaka 10,so nikikwambia am in my
early 20's ye nae yuko in his early 30's, sometimes I find it so weird.
I'm beginning to have feelings but I find it so awkward nikiwaza age naona ana act as an adult sana
sa mi Heaven on earth naona I have a certain kind of life ambae ni tofauti na yeye sasa my worry is
will I be able to cope,cos hatujaingia ktk relationship ila naona kama ni mtu wa kuniambia the DO'S and DONT'S!!!!!!
mambo mengine he is okay,he is lookong forward to a long term commitment (mtakuwa mmenielewa hapo)
financially stable ila sitaki hiko kuwa the main reason ku enter into relationship,i just want to consider other things.
Am planning to talk to my Mum this weekend but nahitaji kujua hili ni sahihi!!!!!!
watu wa hivi wapo na maisha yao ya ndoa huwa yana WORK OUT!!!!!!
What do you mean Anafaaaaa? Ofcourse anafaaaaaaa!
Age is just a number!!!!!
30's are the new 20's Mi nakushauri (Sasa suala kama je niko credible kukushauri hayo mambo mengine!), think outside the box mambo mengine ya msingi na sio kukomalia hio Age.
Mimi baba angu na mamushka wamepishana 15 years. Ila wanawake tulivo na miili isyo nashukrani ukiwaona utasema wanalingana uzee.
Mi nilijua Age difference unaongelea 70yrs huko!
I get you best,ila umenichekeshaje hapo
kama uko ghorofani anakupandia huko huko LOL!!!!!
Kwanza,umri sio tatizo,am not being selfish,ila sio tatizo pale a man anapokua older (kwa range hiyo,2-10yrs) lakini sio mdada.
Lakini hizo red hapo zina changanya sana,kaibuka,not in a relationship,planning to talk to mum.
Anyways,all the best. Be good in your marriage life,story zingine waachie wasiotaka(wasiokua na sifa za) kuolewa
Habari zenu wana MMU!!!!!!!
i think its my first time kuomba ushauri humu hasa kuhusiana na my personal life,
am a girl in my earlier 20"s elim yangu na nna kazi yangu kiasi kwamba I can take care of myself,
nimepitia kwenye relationship that really sucks mpaka ikabidi nijiweke Pembeni kidogo na mambo ya mahusiano,
Lakin sasa nimekuja kukutana na huyu kijana,tuliwahi ku attend workshop pamoja kipindi fulani na tukawa
kwenye category moja so hiyo ilitupa chance ya kuwa friends/collins baada ya workshop kuisha
kila mtu alienda njia yake ikabakia "HI" za hapa na pale!!!!!
hizi siku za karibuni ndio that Guy ameniibukia,sijashangaa sana cos that time I just read the signs nikajua
jamaa kuna kitu kazimikia sema hakunambiaga tu!!!!!!!
sasa what makes me worries ni age difference yetu,yeye ni amenizidi kwa miaka 10,so nikikwambia am in my
early 20's ye nae yuko in his early 30's, sometimes I find it so weird.
I'm beginning to have feelings but I find it so awkward nikiwaza age naona ana act as an adult sana
sa mi Heaven on earth naona I have a certain kind of life ambae ni tofauti na yeye sasa my worry is
will I be able to cope,cos hatujaingia ktk relationship ila naona kama ni mtu wa kuniambia the DO'S and DONT'S!!!!!!
mambo mengine he is okay,he is lookong forward to a long term commitment (mtakuwa mmenielewa hapo)
financially stable ila sitaki hiko kuwa the main reason ku enter into relationship,i just want to consider other things.
Am planning to talk to my Mum this weekend but nahitaji kujua hili ni sahihi!!!!!!
watu wa hivi wapo na maisha yao ya ndoa huwa yana WORK OUT!!!!!!
Kwani ana mtindo gani wa maisha ambao weye wakupa kizungumkuti?
Any relationship has 3 big issues about men. Just learn your game you will be fine!!!!!!!! Know when to hold and when to fold.
Stage 1.
1. Mwanaume sio ndugu yako ama mzazi wako. Ni mtu tu mmekutana ukubwani. (Meaning tolerance level yake iko chini. So behave as much as possible. Don't push his limits. Know your boundaries. Hakuna mwanaume utayeshindwana nae)
Stage 2.
Dont take any man for granted. Any means ANY hata kibuzi. They are sharp to sense your over comfidence and they love to challange you. Its about continuous and gradual process of winning his heart over and over. You better take your time.
Stage 3
Become The Master of Manipulation to get him to do what you want. Every body has a weak point, use it to your advantage. Kila shetani na mbuyu wake wewe usilale usingizi mpaka uujue huo mbuyu wake. Ndo utashangaa mwenzio mumewe kamjengea kwao, anasomesha wadogo zake wote ulaya, ana bonge la gari, full shopping, we wako nyama hanunui humo ndani, ama ukisema habari za ndugu zako tu ugomvi ukakalia ana bahati yule au limbwataa! Wapiiiiiiiii!!!!! Kaujua mbuyu ulipo, akitaka kitu tu anakwea mbuyuni. Mjini hapa!
ALL THE BEST!!!!!!!!
ndo vijana walivyo yan ukipanik na yeye huyo ! Hasemi hapa ngoja nijishushe kidogo mamaa atulie hamna loh! But wa dizain hiyo mweh! Atacheza na psycholojia yako tu! Utaona huuyoo! Akirud yameisha !
Daaah jamani my mdogo Heaven on earth ina maana grafani11 is 30!!!!!!!!jamani(sorry my mdogo its just a joke banah dont take it serious i know kwa hili uko serios mwaya)
Back to the topic huo umri wenu sio ishu kabisa labda kama wewe ndo ungekuwa unamzidi hus wako to be kwa kiasi hiko ingekuwa kazi kidogo,lakini kwa kuwa yeye hus wako ndo kakuzidi that amount sio tatizo hata kidogo,lakini huo ni ushauri tu uamuzi wako unapaswa kutegemea maoni yako kuhusu hilo,unahisi utajisikiaje ikiwa utajipa go ahead ya kuwa naye na pia je unampenda?unampenda kwa sababu zipi?ukishajiuliza na kutafakari kuhusu vipengele hivyo hope utapata majibu na kufanya maamuzi sahihi.i wish u the best mamito.
Jamani nyie akina taamu NIGGA Tamatheo Mr Rocky njooni mumshauri Heaven on earth anahitaji my your :help:.
Age ya kawaida hiyo na utaEnjoy mpaka useme ulikuwa wapi siku zote.Cha muhimu kumsoma vyema huyo mutu na usimshirikishe mama mapema hiyo makitu.....kama una dada anayejitambua bas waweza kushare nae.