Does regular sex make women fat?especially hips and breast?

RUSSESABAGINA

Senior Member
Dec 23, 2016
168
250
Ni imani maarufu sana kwamba wanawake wengi hunenepa hasa hasa hips pamoja na manyonyo(breasts) pindi tu wanapoanza kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara.
Hata hivo hili ni jambo la kusadikika tu (absolute myth) kwa maana hakuna sababu yoyote ya kiyasayansi inayoweza eleza juu ya hili. Hakuna mahusiano yoyote ama hakuna njia yoyote Ile ya ejaculated sperms can get digested na kuingilia katika blood systems hadi mtoto wa kike aanze kunenepa ( narudia hakuna uthibitisho wa kisayansi juu ya hili).
Baadhi ya studies mbalimbali zinaonesha kuwa both wanawake huwa wananenepa wakianza kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara sipingi lakin sababu kuu inayofanya wanawake wanenepe si tendo la ndoa but other factors which I will explain them below...

1:wanawake hupata faraja ya kuwa katika uhusiano na wanafeel secured hii huwaondolea stress so wanakua wamerelax na hali hii inaweza kupelekea kunenepa kwao ( in general).

2.kama una experience utagundua watu walio katika mahusiano wana kula mara kwa mara tofaut na mtu aliepo single.ukiwa na familia unapata motivation ya Kula tofauti na mtu ukiwa single by saying so Kula mara kwa mara automatically kutapelekea weight gain to a couple na sio sex.

Nawasikisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abuu Said

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
3,226
2,000

Na mwanaume kwanini anakonda akiwa kwenye mahusiano mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
love b

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
2,181

Hoja zako nimezikubali aisee. Suala la kuwa sex inanenepesha halina ukweli wowote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom