Does family background matter?

Kuchunguza kuna umuhimu wke unaweza oa m2 anakifafa au kichaa mwisho wa cku akaleta tafranu
 
Each person is unique!!
Kama umempenda na yeye kama yeye tabia yake imekuridhisha oa tu,hata identical twins wana tofauti itakuwa hao waliopishana hata miaka?

hapana sikubaliani na wewe family back ground ina play big part katika hizo ishu, mfano kama hao wengine kwenye family wangekua wameolewa na kuoa harafu wametulia kwenye ndoa hio ingemuingia na yeye na kuona kua ndoa ni ndoano na sio kitu cha mjaribio kama hao ndugu wengine ila kwa sasa kutokana na matukio ya kinachotokea kwenye family, inakua ni kitu cha kawaida hata yeye kukifanya, but still mkuu hio pia sio sababu ya kuto kuoa ila inakufanya kua muangalifu katika mambo almost yote ya ndoa na huyo mwenza wako as you know ndoa ni wawili but hio ya kwako 80% itakuhitaji wewe kuitunza na kuilinda so utahitaji more busara na uvumilivu toka kwako, or haitakua kama wengine ambao wote mnashikilia ndoa isivunjike maana kwake huyo mwenza ni kitu cha kawaida kwake na kwao, but go for love then mtengenezane
 
je unajua hcho kilichowafanya nduguze wakimbie ndoa or una judge tuu km bazazi.... km unajua basi unakaz kijana na huyo bata utashndwa kumla km SWOT analysis yenyeq ndy imezama hvyo...

ndiyo Baby M na wewe bora umeguswa, hawezi jua kabisa so judgement inahitaji umakini ila akumbuke kuoa s hayo aliyotaja
 
Its all about Post Traumatic-Disorder... Watch this!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…