Does family background matter?


Poa nimekuelewa sana ICHANA hasa kwenye magonjwa ya kurithi inatakiwa umakini sana
 
Wazazi wao je? Kama na wenyewe hawako pamoja fikiria mara mbili kabla hujafanya maamuzi, huwa kuna laana fulani ya kukosa mume/mke kwa baadhi ya familia

Hapa kuna ukweli kaka maana ata kwa wazazi kuna utata kidogo
 

Kweli tena nadhan ata siku ikitokea mkatofautiana kauli haezi kupata ata ndg wa kumpa ushauri wa kujenga. sana sana watamshauri arudi tu nyumbani kama walivofanya wao
 
Nadhani 'family history matters' tena zaidi kama mtu mme/mke amekuzwa kwenye matendo ya historia hiyo.
 
Naye angekuwa na mtoto sahivi kama angekuwa kapinda.
 
Inahusika kwenye magonjwa ya kurithi tu na sio kuzaa nje ya ndoa na kuachika!!
 
unaoa mke na c ndugu zake so be carefull na judgement zako
 
o only dat pia malezi ya familia yana matter so kama malezi ndio yaipeleke a hayo na yeye yumo hapo ishu.......so inategemea
 
tabia ya mtu yeyot inakuwa 'influenced' na vitu viwili FAMILY ALIYOTOKEA NA MAZINGIRA YA NJE ALIYOKULIA,TS 50/50...kwenye kuchagua mwenzi inaweza isiwe factor kubwa coz love is blind,but ni kitu cha kuangalia kwa karibu unapotaka kujua tabia ya mtu
 
mhhhh mna juuuuuuuuuudge km vile mko perfeeeeeect saaaaaaanah kujua watu... hamna lolote km hupend hupend tu km umependa umependa... as wanasema kipenda roho hula nyama mbichi... km wajiona perfect sana kata mgomba oa weka ndani kwako.. or kama ulizaliwa kabla ya wakat wa adam na hawa na binadam wote tukawa imperfect. .. keep on judging.
watu washaoa machangudoa walio waokota njian...itakua wewe unachambua family issues za mtu. umenchefua.
 
Mmh naye hatokimbia kama ndg zake wanavyokimbia ndoa kweli?

je unajua hcho kilichowafanya nduguze wakimbie ndoa or una judge tuu km bazazi.... km unajua basi unakaz kijana na huyo bata utashndwa kumla km SWOT analysis yenyeq ndy imezama hvyo...
 
kuna rafiki yangu alikosa nafasi ya kusomea upadri kisa kaka yake kazaa nje ya ndoa! nafikiri family background ndo inayomjenga mtu kutoka katika familia husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…