Ndugu zangu kuna suala limekuwa likinitatiza kidogo.
Tuchukulie mfano umepata mtu ukampenda. Baada ya kuchunguza ukakuta anandugu watatu (dada wawili na kaka mmoja).
Dada yake wa kwanza aliolewa na akaachika baada ya kupata mtoto mmoja, na dada ake wa pili ajaolewa ila tayari ana mtoto. Kaka ake kazaa na waschana wawili na bado hajaoa.
Sasa ungekuwa ni wewe mwana JF mwenzangu huyu mwanamke kutoka kwenye hii familia ungekuwa tayari kumuoa? Pia tuelezane nafasi ya family background katika kuchagua mwenzi wa maisha.
Each person is unique!!
Kama umempenda na yeye kama yeye tabia yake imekuridhisha oa tu,hata identical twins wana tofauti itakuwa hao waliopishana hata miaka?
Katika familia si wote mnaweza mkafanana kitabia au kivingine.....so kila mtu na Mwenyezi Mungu alivyomuumba...kama unampenda Mpende bila kuangalia kuna nini nyuma yake...
Wathungu wanasema it is important to work on INTERNAL LOCUS OF CONTROL because we are creative force of lives. Kila mtu ni unique...haitakaa kutokea mtu mmoja akasafiria nyota ya mtu mwingine. The more we work on ourselves and what we want to achieve, the more we progress forward towards the goals.
Kwa maana hiyo basi kila mtu anayo nafasi ya kutengeneza matukio na historia kwa jinsi anavyopeleka mambo yake na si vinginevyo.
Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.....tabia ya mtu hutegemea kwa kiasi kikubwa mazingira aliyokulia...background checking is important..but it is not the only factor.
UKWELI yote yanahusika family background na tabia ya mtu ni mtu....
ndo mana wazee wanasema oa kwnye familia ambayo wanaijua kuepusha madhara kama ya magonjwa ya kurithi,tabia zake n.k
also tunasema tabia zinatofautiana hata akama tumezaliwa one family ila jiulize kwnni wote kuwa na matatizo?????
Wazazi wao je? Kama na wenyewe hawako pamoja fikiria mara mbili kabla hujafanya maamuzi, huwa kuna laana fulani ya kukosa mume/mke kwa baadhi ya familia
kunauhusiano flani na mambo ya mtu binafsi ila sio tiketi ya tabia yake binafsi. anaweza kuwa tofauti nao japo nafasi ya hilo ni ndogo kuliko ya kuwa kama nduguze.
The Proverbial Apple does not fall Far from a Tree..., is not always true..., sometimes due to the hurricanes it can be blown and fall farther from the tree
Kuna uhusiano mkubwa tu, kuna familia hawaolewi kabisa, wengine ni kuolewa na kuachika. Makuzi na tabia za asili za familia zinachangia yote haya. Ndio maana zamani sazee hawakukubali kuoa familia wasyoijua.
Aisee hii inahusika sana mkuu si ya kupuuza.There are some cases watu wanajaribu ku-justfy kuwa individuals differs from one to another but ukweli ni kuwa yote haya yanakuwa reflected kwenye familia iliyowakuza.I know a family ina watoto wa kike watano na hakuna hata mmoja aliye na mume kwa sasa wawili walijaribu wakarudi home.
Kila mtu ana role models wake so hawa huwa wanasema mbona sister yuko single na yuko poa tu wanaamua kupotezea they are not serious...mkuu kimbia hapakufai hapo