DODOMA: Zaidi ya Bilioni 1 zabainika kulipa watumishi hewa kati ya mwezi Machi na April mwaka huu

Pistol

Senior Member
Oct 13, 2015
194
86
Zaidi ya shilingi bilioni moja na milioni mia nane zimebainika kulipa watumishi hewa mkoani Dodoma kwa kipindi cha miezi miwili ya Machi na April mwaka huu.

Mkuu wa mkoa huo Mhe Jordan Rugimbana akitahadharisha kuwa hatakuwa na msalie mtume kwa mkurugenzi au mkuu wa idara yeyote atakayebainika kuhusika na upotevu huo.
13406734_987116778052664_1197126939040849050_n.jpg
 
Na viongozi wote walikuwepo.. Usije ukashangaa bado watushi hewa wapo hadi ikulu
 
Hii program haihitaji hasira. Hapa ndipo atakapo gundua TZ ni zaidi ya alivyo ifikiria.
 
Watu wanahitaji strong institution na sio mtu imara.
Kuna haja ya kuangalia upya mifumo, namna ya tunavyoajiri na inspections strategy zetu zimekaaje. Nadhan tunahitaji regal approach basis kuliko mikwala na press conference nyingi kama ilivyo sasa!!
 
Back
Top Bottom