just in case you did not know.....dodoma wine sell overseas! Na mambo hiyo mkuu inakubalika sana "ng'ambo" hasa iliyowekwa kuanzia miaka 15 na kuendelea siyo rahisi kuipata hapa nchini ila inazwa nje ya nchi kwa bei juu. Ukiwa dodoma just buy locally kule hombolo na makutupora ya kawaida inapatikana. Lakini pia kumbuka usiwe mlevi...walevi hawataingia mbinguni biblia inasema hivyo.