Dodoma Web Programming Free Classes

Dodoma Web Programming Free Classes

quantumQ

Senior Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
112
Reaction score
85
Kwa wale ambao wapo interested na Web Programming na wangependa kujifunza na wapo Dodoma waniachie contact details inbox ili tu arrange meetings siku za weekend.

Thanks
 
Web programing only ? Au any programing language
 
Kwa wale ambao wapo interested na Web Programming na wangependa kujifunza na wapo Dodoma waniachie contact details inbox ili tu arrange meetings siku za weekend.

Thanks
for free? is it true?
 
Daaah broo ungefungua group la wasa niwe ata napata kaujuzi mie wa mbali

Kwa wale ambao wapo interested na Web Programming na wangependa kujifunza na wapo Dodoma waniachie contact details inbox ili tu arrange meetings siku za weekend.

Thanks
 
kuna njia nyingi za kufikisha knowledge kwa watu:

youtube tutorial
website tutorial
whatsapp/telegram group

ukipata mda fanya hata kimoja wapo will be good
 
Utatumia programming language gani? Mana nina mdau anapenda sana kujifunza na yuko domu so ninataka namwambie awasaliane na wew
 
Mainly Java. Pia language yoyote mtu anayotaka kuitumia ku accomplish something nnaweza kumu assist.
 
Back
Top Bottom