alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 5,682
- 12,142
nimepita huko wiki iliyopita,hatari sana.Ule mtaa wa Dodoma ulioko njia ya kwenda Udom ambao una majengo ya Hazina, benki kuu, Dodoma conventional center n.k utakuja kuwa babkubwa. Maendeleo yake ni ya kasi sana na hivi uncle Magu anawekeza Dom basi ndani ya miaka kadhaa mbele ndio utakua sura ya Dodoma.
Tanzania itamkumbuka Magufuli kwa kuijenga Dodoma kutoka kuwa mji wa kawaida mpaka jiji kubwa Tanzania. Na hili analifanya kwa vitendo zaidi kuliko maneno. Dodoma saizi kuna projects nyingi sana zinaendelea.
Natabiri baada ya miaka 5 kama Magufuli atakua Rais basi Dodoma itakua mbali Sana in terms of infrastructures.
Sent using Jamii Forums mobile app