Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,171
- 1,080
Thika ndo vitu gani? Dodoma is the best wakenya kubalini tu ............
Depay sema Kuhit nail on the headWelcome to Thika
View attachment 475649
Iyo road iko poaWelcome to Thika
View attachment 475649
Ha ha ha ha ha ha haha dahHata ungekuwa unajua kama mungu. Dodoma haifikii Thika. Thika iko miaka 100 mbele ya dodoma. Labda kama mnaishinda kwa kufyatua wanadamu.
Mkuu hapo umezunguza bila kufuata hisiaU have a point, hata Mimi ningekuwa leader I'd take Mwanza to the highest. Mwanza is to be a regional hub.
Dodoma is the fourth largest town based on population and not level of Development.Dodoma ni mji wa nne kwa ukubwa Tanzania. Inafuta baada ya Dsm, Mwanza na Arusha.
List of cities in Tanzania - Wikipedia
You can't compare thika with Dodoma in any aspect.Thika is way ahead...Tanzania should work harder
Thika iko just 40km from Nairobi cbd..nj the most industrialized town in East&Central Africa,most people live in Thika and work in Nairobi.. Dodoma bado ni changaUme tumia kigezo gani
Kwahyo thika kuna viwanda vingi zaidi ya Nairobi Au ni kwa towns kama ulivyosema...Dodoma ni mji a kiserikali,Nguvu nyingi ndio inawekwa kwa sasa ila hapako nyuma hivyo unavyodhanThika iko just 40km from Nairobi cbd..nj the most industrialized town in East&Central Africa,most people live in Thika and work in Nairobi.. Dodoma bado ni changa
Towns tu...but inashinda Nakuru,kisumu na eldoret kwa industries but si kwa ukubwa...Kwahyo thika kuna viwanda vingi zaidi ya Nairobi Au ni kwa towns kama ulivyosema...Dodoma ni mji a kiserikali,Nguvu nyingi ndio inawekwa kwa sasa ila hapako nyuma hivyo unavyodhan