Dodoma: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakamatwa kwa tuhuma za kuvaa T-Shirt zenye maneno ya kichochezi

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
Viongozi wakuu wa Baraza la vijana CHADEMA ngazi ya Taifa (BAVICHA) wamekamatwa na Polisi mjini Dodoma usiku huu.

Viongozi hao ni Julius Mwita, Katibu Mkuu, Patrobas Mwenyekiti, na George Tito, wamekamatwa kwa tuhuma za kuvaa t-shirt zenye ujumbe wakichochezi.

Mpaka sasa wamenyimwa dhamana.


93ea52db-f100-4737-8c8b-ff360f229be2.jpg

image.jpeg
image.jpeg
 
Wapi uliona nyumbu wakihitaji busara labda kama wangekuwa ni viumbe wenye utashi kama binadamu. Hawa dawa yao ni upupu tu tena hujisikia raha sana wakiona mwenzao kaliwa maana humo humo kwenye msukosuko huzaliana kwa wingi.
TUNAKUJA KUSAIDIA POLICE RAIS ALISEMA HAKUNA MIKUTANO YA SIASA.

SWISSME
 
Hapa busara ndio inahitajika sasa
Mkuu busara inatoka wapi?, tena kwa police wa Tanzania ???...., Nadhani kuna shida zaidi ya hizo kwa wanao fanya kazi za upolisi, hebu angalia police wa Kenya na marekani wanayo ya fanya
 
Back
Top Bottom