J johnthebaptist JF-Expert Member May 27, 2014 84,036 142,119 Jun 3, 2020 #2 Roving Journalist said: View attachment 1467381View attachment 1467382View attachment 1467383 Click to expand... Chamwino hapo Ikulu?
Roving Journalist said: View attachment 1467381View attachment 1467382View attachment 1467383 Click to expand... Chamwino hapo Ikulu?
del moe JF-Expert Member Apr 4, 2016 827 1,023 Jun 3, 2020 #3 Hatua nzuri Sana hongera kwenu Sent using Jamii Forums mobile app
Isengelo JF-Expert Member Oct 25, 2017 476 746 Jun 3, 2020 #4 Kazi kweli kweli mpaka kwenye mikopo ya riba? kwa maoni yangu naona hayo hayawahusu. pccb wasome vizuri wajibu na kazi zao!
Kazi kweli kweli mpaka kwenye mikopo ya riba? kwa maoni yangu naona hayo hayawahusu. pccb wasome vizuri wajibu na kazi zao!
Mr Tyang JF-Expert Member Sep 30, 2018 1,728 6,803 Jun 3, 2020 #5 Kwakwel nafurahishwa sana na utendaji kazi wa TAKUKURU katika awamu hii Bora kabisa inayoongozwa na jemedari JPM. #Rushwa haikubaliki kabisa kwa pamoja tushirikiane kuitokomeza. No room for corruption.
Kwakwel nafurahishwa sana na utendaji kazi wa TAKUKURU katika awamu hii Bora kabisa inayoongozwa na jemedari JPM. #Rushwa haikubaliki kabisa kwa pamoja tushirikiane kuitokomeza. No room for corruption.
Mr Tyang JF-Expert Member Sep 30, 2018 1,728 6,803 Jun 3, 2020 #6 Isengelo said: Kazi kweli kweli mpaka kwenye mikopo ya riba? kwa maoni yangu naona hayo hayawahusu. pccb wasome vizuri wajibu na kazi zao! Click to expand... Kati ya wewe na hao maafisa wa pccb wapi wanajua majukumu Yao? Watu wengine bhana Sijui huwa mnatumia viuongo gani kufkiria.
Isengelo said: Kazi kweli kweli mpaka kwenye mikopo ya riba? kwa maoni yangu naona hayo hayawahusu. pccb wasome vizuri wajibu na kazi zao! Click to expand... Kati ya wewe na hao maafisa wa pccb wapi wanajua majukumu Yao? Watu wengine bhana Sijui huwa mnatumia viuongo gani kufkiria.
Ng'wanapagi JF-Expert Member Sep 18, 2013 9,125 8,628 Jun 3, 2020 #7 Hongera sana wasubiri Serikali iliyokuwa ya awamu ya nne irudi tena
Mr Tyang JF-Expert Member Sep 30, 2018 1,728 6,803 Jun 3, 2020 #8 Tutaelewana tu.. TAKUKURU endeleeni na spidi hii hii Hadi kile kikundi Cha kupinga kila kitu kikose kupumua kabisa.
Tutaelewana tu.. TAKUKURU endeleeni na spidi hii hii Hadi kile kikundi Cha kupinga kila kitu kikose kupumua kabisa.