Dodoma: TAKUKURU imewadaka Muuguzi wa Chamwino Zablon kwa Rushwa na "Osama" wa Kongwa kwa kutoa mikopo kandamizi, Yaonya Uchaguzi wa CWT

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,746
11,875
1591166863231.png
1591166893248.png
1591166913697.png
 
Kazi kweli kweli mpaka kwenye mikopo ya riba? kwa maoni yangu naona hayo hayawahusu. pccb wasome vizuri wajibu na kazi zao!
 
Kwakwel nafurahishwa sana na utendaji kazi wa TAKUKURU katika awamu hii Bora kabisa inayoongozwa na jemedari JPM. #Rushwa haikubaliki kabisa kwa pamoja tushirikiane kuitokomeza. No room for corruption.
 
Kazi kweli kweli mpaka kwenye mikopo ya riba? kwa maoni yangu naona hayo hayawahusu. pccb wasome vizuri wajibu na kazi zao!
Kati ya wewe na hao maafisa wa pccb wapi wanajua majukumu Yao? Watu wengine bhana Sijui huwa mnatumia viuongo gani kufkiria.
 
Tutaelewana tu.. TAKUKURU endeleeni na spidi hii hii Hadi kile kikundi Cha kupinga kila kitu kikose kupumua kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom