Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,800
- 11,961
Kati ya wewe na hao maafisa wa pccb wapi wanajua majukumu Yao? Watu wengine bhana Sijui huwa mnatumia viuongo gani kufkiria.Kazi kweli kweli mpaka kwenye mikopo ya riba? kwa maoni yangu naona hayo hayawahusu. pccb wasome vizuri wajibu na kazi zao!