Dodoma: Sita wafariki dunia kwa ajali ya gari

Dodoma: Sita wafariki dunia kwa ajali ya gari

Polisi watuambie sababu ya kuruhusu mikokoteni kutembea usiku bila ishara yoyote ilihali mjini polisi wapo wengi kulinda zebra crossing!?
 
Mwanzo nliona land cruise, nikambiwa tena mkokoteni , ila hapa naona toyota hais ... bado najiuliza kwani mkokoteni wa kuvutwa na ng'ombe inaweza beba watu 12?
Mkokoteni nao ulikua doublecabin,wagogo wabunifu sana
 
Back
Top Bottom