DODOMA: Polisi waporwa SMG kwa nondo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Watu saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha mbalimbali za jadi, wamempora bunduki aina ya SMG askari polisi PC Shadrack.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Mnyambuga alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 2.36 usiku katika ofisi za Kampuni ya Simu za Mkononi ya Halotel, eneo la Medeli.

“Majambazi wapatao saba wakiwa na mapanga na nondo walifika katika ofisi hizo baada ya kutoboa ukuta na kumjeruhi askari kwa mapanga na nondo na kupora silaha aina ya SMG,” alisema.

Kamanda huyo alisema polisi walifanya msako mkali usiku huo na kufanikiwa kuipata silaha hiyo eneo la Mbuyuni.

“Mtu mmoja amekamatwa kuhusiana na tukio hilo na anaendelea kuhojiwa,” alisema.
 
Hakuna watu wazembe kama polisi wa Tanzania yaani sijui mafunzo yao yanakuaje huko chuoni kwao, yaani mpaka inakera.
Jaribuni kusoma na kulinganisha mazingira ya ufanyaji kazi kat ya polis na mwanajeshi.

Jwtz wao wapo wao wenye we
Kazn Wala hawahusiki na huduma za kiraia.kwahyo mtu yeyote anayesogelea kambi ya jeshi na sio askari lazma wamhoji kwa umakin.

Polis kazi yao ni kutoa huduma za kiraia kwa raia hvyo ni vigumu kidogo kwa polis kumtambua mwema na adui. Kama polis wakiamua kukomaa kijeshi kweli hapa utawaona watu na akina mdee na tundulisu wakiandamana kuwa polis wananyanyasa watu.

Polis anapambana na adui asiyejulikana
Wakiwa kwenye patrol ukiwakaribisha lager hawachomoi

Mkuu na hata Mhe JPM linamkera sana ndo maana Majuzi wakati anakaguliwa silaha zake alisema ni aibu kwa askari kuporwa silaha kama huyu polisi.

binadamu aliekamili hawezi pokonywa Smg iliyo full magazine...achilia mbali police mwenye tu mafunzo...
 
Ina maana mpaka anaporwa hiyo silaha, magazine ipo full tu... kwamba hajafyatua hata risasi 1 ya mkwara!
 
Jaribuni kusoma na kulinganisha mazingira ya ufanyaji kazi kat ya polis na mwanajeshi.

Jwtz wao wapo wao wenye we
Kazn Wala hawahusiki na huduma za kiraia.kwahyo mtu yeyote anayesogelea kambi ya jeshi na sio askari lazma wamhoji kwa umakin.

Polis kazi yao ni kutoa huduma za kiraia kwa raia hvyo ni vigumu kidogo kwa polis kumtambua mwema na adui. Kama polis wakiamua kukomaa kijeshi kweli hapa utawaona watu na akina mdee na tundulisu wakiandamana kuwa polis wananyanyasa watu.

Polis anapambana na adui asiyejulikana
Utaratibu ni kwamba ukiwa na silaha mtu asikusogelee karibu uwe umbali wa hatua tano sasa wewe unaruhusu vipi watu usiowajua kukusogelea askari wetu ni wazembe sana
 
Mbona Magereza anachukua wafungwa 7-10 askari mmoja ana silaha ina risasi 10 tu na anaenda bao mbali wanafanya kazi na kurudi salama hatusikii amekimbiwa na wafungwa au kuporwa silaha hili jeshi liangaliwe tu wapi kuna tatizo lirekebishwe.
 
Utaratibu ni kwamba ukiwa na silaha mtu asikusogelee karibu uwe umbali wa hatua tano sasa wewe unaruhusu vipi watu usiowajua kukusogelea askari wetu ni wazembe sana
Ufanyaji kazi kwa mazoea unakuta sehemu anayolinda kuna njia ambayo 24 hrs watu wanapita na yeye kama mlinzi anaangalia tu bila kufunga hiyo njia kwa usalama wake watu wampitie mbali
 
Jaribuni kusoma na kulinganisha mazingira ya ufanyaji kazi kat ya polis na mwanajeshi.

Jwtz wao wapo wao wenye we
Kazn Wala hawahusiki na huduma za kiraia.kwahyo mtu yeyote anayesogelea kambi ya jeshi na sio askari lazma wamhoji kwa umakin.

Polis kazi yao ni kutoa huduma za kiraia kwa raia hvyo ni vigumu kidogo kwa polis kumtambua mwema na adui. Kama polis wakiamua kukomaa kijeshi kweli hapa utawaona watu na akina mdee na tundulisu wakiandamana kuwa polis wananyanyasa watu.

Polis anapambana na adui asiyejulikana
kazi ya polisi inachangamoto sana lakini nadhani tatizo ni mfumo wao, unawafanya wawe waoga na wasijiamini matokeo yake ndio haya.
 
Back
Top Bottom