Dodoma ni zaidi ya miji ya China

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,089
Nani kasemamikokoteni ni huku kwetu tu? au maisha ya uswahilini {Uswazi) China hayapo? kabati za mbao ni km kawa na mgodoro ya Dodoma ni bora zaidi
Hapo jamaa amehama bila kumuaga Balozi mm nabaki Afrika
 
Attachments

  • Mkokoteni.JPG
    Mkokoteni.JPG
    91.4 KB · Views: 607
sasa nimepata picha ndio mana magamba wanasemaga maisha magumu hata ulaya na wajinga wanakubali .. china unafananisha na dodoma yani ufananisha inzi na mbuu we kweli 0713
 
sasa nimepata picha ndio mana magamba wanasemaga maisha magumu hata ulaya na wajinga wanakubali .. china unafananisha na dodoma yani ufananisha inzi na mbuu we kweli 0713

Thamahani mkuu, hiyo 0713 uliyomuita jamaa ndio inini eti!? naulidha tu! teh teh
 
Back
Top Bottom