Dodoma ni kutamu jamani

Dodoma ikifika ijumaa watumishi wengi wanakuwa kama vile wanafunzi wanavyoshangilia likizo ya mid term!! watu full shangwe na mabasi yanajaa yote. Utakuja kuwaona dar siku ya jumapili wanvyorudi Dom kinyonge.
Hio ni kawaida hata mini mingi mikubwa hua Iko hivo , sio kwamba dar ndio kutamu hapana , kwa joto la dar aisee ule mji siuwezi siku Moja nipo kwenye gari maeneo ya daraja la kijazi Ile halufu iliokuwepo pale sijawai isikia dar kuchafu mno
 
Hakika Magufuli ametuheshimisha Dodoma ,kias sshv wanaDom hatujakaa kinyonge bana
 
Dodoma kiukweli inabadilika sana hadi unaweza potea ramani kama hujaenda muda kidogo. Kuna vibe ndio ila viwanja ni vichache na ni vilevile, hata sura unaweza zikariri hasa kwa vipindi ambavyo hamna bunge...hasa maeneo ya rainbow ambako ndo panabamba sana. Pia kwenye mahotel bado sana yaani ni 3 stars tu ndio mwisho na hata huduma zao haziko standardized. Japo panakua kwa Kasi, Dodoma bado pana standard ya chini kidogo ukilinganisha na Arusha au Mwanza..Dar hata tusiitaje
 
Mala ya mwisho kufika ni lini mkuu, ukiwa tayari nikutembeze viwanja au nikupe location
 
Umetembelea na Makulu mzee!? Mji wetu unabadilika ,we are safe ,we are clean hapa nazungumzia usafi wa watu mjini sio mji km mji, sasahv hatuna mpango wakukimbilia Dar wala Mwanza tunataka na wao waje Dodoma
Kabisaa mkuu Cha muhimu wale wageni wa Jiji dar kule ndio wanaona pa maana , mimi nina nyumba tatu dar ikiwemo goba salasala na goms lakini siwezi ishi huko dar, kabisaa
 
Kwa akili kama hizi tusitarajie black Tanzanians watakuja kuongoza Kwenye top ten of Billionaires katika Taifa hili,
 
Nimetoka huko last week...vitaje hapa next time nitembelee
Aisee mkuu Kuna machimbo ni hatalii ukiwa Dom tafuta mtu wa bajaji pale mjini kati mwambie akutembeze viwanja vipya utakuja nishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…