Dodoma ni kutamu jamani

wamshukuru kweli kweli
 
Kwa sasa Dom ipo vizuri kwenye mambo mengi ukilinganisha na kabla serikali haijahamia hapo. Nimeishi sana Dom kabla na baada ya serikali kuamia, kazi iliyofanyika ni kubwa watani wa JPM(wagogo) mshukuruni sana JPM.
Samia nae ameendeleza Yale ya magu hongera yke
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…