milionea wa kesho JF-Expert Member Dec 28, 2015 328 631 Jul 22, 2019 #1 Nawasalimu wafanyabiashara! Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki. Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane. Suala la bei ni makubaliano kati ya mimi mnunuaji na muuzaji.
Nawasalimu wafanyabiashara! Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki. Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane. Suala la bei ni makubaliano kati ya mimi mnunuaji na muuzaji.
Fenuchi Senior Member May 5, 2019 116 38 Jul 22, 2019 #2 milionea wa kesho said: Nawasalimu wafanyabiashara! Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki. Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane. Suala la bei ni makubaliano kati ya mimi mnunuaji na muuzaji. Click to expand... Unanunua kwa bei gani boss
milionea wa kesho said: Nawasalimu wafanyabiashara! Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki. Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane. Suala la bei ni makubaliano kati ya mimi mnunuaji na muuzaji. Click to expand... Unanunua kwa bei gani boss