Dodoma: Nahitaji trei 40 za mayai ya kisasa ndani ya wiki hii

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
328
631
Nawasalimu wafanyabiashara!

Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki.

Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane.

Suala la bei ni makubaliano kati ya mimi mnunuaji na muuzaji.
 
Unanunua kwa bei gani boss
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom