Dodoma: Mwanachuo anaswa na TAKUKURU akijaribu kuhonga aongezewe ufaulu

Brain kwenye masomo ya walimu vicheche pekee? Mtu siku ya test anaumwa anakuja kupewa special anambakizia mwl maksi moja tuu au nusu. 14 over 15. Teh
Zingatia matumizi ya neno PENGINE..

BY THE WAY... kwani ukicheche wa mwalimu unaoingeza ugumu wa masomo? Hivi ukicheche wa mwalimu unapunguza BRAIN ya mwanafunzi? ANYWAY, CHOCHOTE KINAWEZEKANA...
 
Tuhuma hizi zitufunue macho. Rushwa za kingono sio wa upande mmoja tu. Zipo pande zote. Kuna wadada wanaotongoza waalimu/viongozi wao na kuna waalimu wanawake wanaotembea na wanafunzi wa kiume au mabosi wa kike wanaokula subordinates zao kama hawana akili nzuri. Tutanue wigo wa mapambano.
 
Back
Top Bottom