BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,367
Inategemea na vibes zako mzee baba, kama umezoea kula ulanzi na chibuku lazima upaone pa ovyo, hapa Matei sa hii tunakula Heineken tu, kama hauna pesa lazima upate ganzi.Dom mji wa pakishamba big time sio siri. Kwa mihanjo ya usiku ukiacha hapo maisha club sehem zngine mbuzmbuz tu wala hazieleweki
Vyuma vimekaza wanalala ndaniAlaf leo madem wazuri mjini wamejifungia..mwenye code zao tujulishane walipo
Mkuu...Kabisa
Hapafai hata kwa bure aiseeeeeeChako ni Chako
Inaitwa zoo not zunny... We mgogo wa wapiNenda zunny mkuu
Konyo....[emoji57] [emoji57]Dom mji wa pakishamba big time sio siri. Kwa mihanjo ya usiku ukiacha hapo maisha club sehem zngine mbuzmbuz tu wala hazieleweki
Ni zunny mkuu, mm nipo dom tangia disco ni NK tu..Inaitwa zoo not zunny... We mgogo wa wapi
Mkuu umeenda udom kusoma co viwanja sawa bwana mdog
NENDA SHIMO LA NDIZI BAHI ROADHabari za jioni wana jukwaa nimefikaa dodoma jioni hii kwaio nilikua na uliza Kwa wale wenyeji kuwa niingie mitaa ipi ili nami nifurahie kama mwanaume halisi