Dodoma kunashida ya uelewa

Msharika

JF-Expert Member
May 15, 2009
947
69
Jana nili tazama taarifa ya habari ya saa mbili usiku nikaishia ujifunza yafuatayo;
#Habari:Asilimia 56 ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Dodoma wanakabiliwa na ugonjwa wa utapiamlo sugu na udumavu kutokana na kukosa lishe bora hali inayochangia kuathiri mfumo wa ukuaji wa mwili na ubongo na kusababisha watoto hao kukabiliwa na uwezo mdogo wa kufikiri hali inayotajwa kutishia ustawi wa mkoa huo siku zijazo.

Nimejifunza yafuatayo
1. Wakati wa kampeni makamu aliwahaidi kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu wakashangilia.awakuelewa.
2.Wanamiradi mingi kama CDA na mingine yo ila a waendelee.
KURA zao zote kwa ccm na awajajitambua. Kumbe ufahamu wao unashida tusiwashangae
 
Back
Top Bottom