Dodoma kuna JF wing?

Dodoma kuna JF wing?

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
habari ndugu zangu, naelekea kwa watani [wagogo] ila naomba nijue kabisa, kuna JF dodoma wing? kama ipo, ndio napiga hodi ila nikikuta ni wagogo watupu, ntamtuma hausigeli aniwakilishe..

napiga tena hodi,

Hodi wagogo
 
Back
Top Bottom