Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Nakuunga mkono, miongoni mwa mikoa masikini tanzania dodoma upo, nenda kondoa unaweza lia, nenda bahi nk. Ndo maana lusinde alipita kirahis mno. Kiufupi elimu ni shida.
hiri rimkoa rina watu wakabila hiri!