Hivi jamani hawa tunaowaita waheshimiwa huwa mjengoni wanafuata nini? Kutukanana? Mf Sitta Samwel wapinzani wanafiki, na maneno kibao ya kashfa, hapo hapo wengine wao kwa wao wanakiukana, sasa sisi wananchi tunapata ujumbe gani bungeni?

Hakika bunge hili la kumi ni udhia mtupu. Heshima ya mtu ni mtu mwenyewe. Kama unawawakilisha wananchi wako, halafu wanakuona unavyotoa lugha ya matusi au kejeli haipendezi hata kidogo.
Hakika bunge hili la kuimi ni udhia mtupu. Heshima ya mtu ni mtu mwenyewe. Kama unawawakilisha wananchi wako, lugha chafu na ya kejeli ya nini. Waheshimiwa wazima wanazomeana kama watoto wa std II. Inatia aibu.