ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 8,046
- 2,931
Mkuu mji wenu huo endeleeni kula vumbi sisi tumezoea kaubaridi na hewa safii ya misitu ndio maana watalii hawakatiJoto au baridi na maendeleo ya Mji wapi na wapi? ππ
Mkuu mji wenu huo endeleeni kula vumbi sisi tumezoea kaubaridi na hewa safii ya misitu ndio maana watalii hawakatiJoto au baridi na maendeleo ya Mji wapi na wapi? ππ
Vumbi liko huko kwenye Miji yenu madampo,Dom ni lami Kila mahala na zinazidi kujengwa.Mkuu mji wenu huo endeleeni kula vumbi sisi tumezoea kaubaridi na hewa safii ya misitu ndio maana watalii hawakati
Hahahah lami haiondoi vumbi boss nenda Dubai au Riyadh uone kama hakuna vumbiVumbi liko huko kwenye Miji yenu madampo,Dom ni lami Kila mahala na zinazidi kujengwa.
Kwa taarifa Yako Jiji la Dom ndio Lina mtandao mrefu wa lami Tzn nzima hakuna Cha Dar Wala nani.
Vumbi na Ukuaji wa Mji wapi na wapi? Kama pesa ipo hakuna vumbi.Kukaa kwenye misitu bila pesa inakusaidia nini?Hahahah lami haiondoi vumbi boss nenda Dubai au Riyadh uone kama hakuna vumbi
πππWadanganye washamba wenzako labdaππArusha kulikuwa na source 2
Moja chemchemi toka mlimani ambayo ni maji safi kabisa
Pili maji ya visimani ndio vina madini ya fluoride ambayo yana sifa ya kuharib mifupa na kwa sasa watu wanapata maji safi ya jiji unakunywa bila kuchemsha nguo unafua hazipauki kama dodoma π π€£ π π π endeleeni kula ubuyu
Arusha wameshanyanyua Mikono Juu.Dom imeshafikia level za take off so haikamatiki tena Mshindani wake ni Dar tuu ππππkuna yule jamaa ILAN RAMON anasema ardhi ya Dodoma haina afya na haifai kwa kilimoπ€£π€£..hajiulizi kwanini katika mikoa yote 31 Tanzania mradi upelekwe huko
π π€£ π π π π€£ π ona mshakumbwa na njaa huko Dodoma na ndio kwanza March tu!ππkuna yule jamaa ILAN RAMON anasema ardhi ya Dodoma haina afya na haifai kwa kilimoπ€£π€£..hajiulizi kwanini katika mikoa yote 31 Tanzania mradi upelekwe huko
π π€£ π π π π€£ ππππWadanganye washamba wenzako labdaππ
Watafiti waingia kazini kuwanusuru wanaooza meno Arusha
Watafiti wa kituo cha utafiti wa ubora wa maji cha Ngurdoto-Arusha, kimeungana na wenzao wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Afrika cha Nelson Mandela kwa ajili ya kuanza utafiti wa namna ya...www.google.com
Nitakujibu ki sayansi kama unahitaji kuelewa ila kama umekariri ubishi endeleeni kupokea mchele wa wamarekaniππkuna yule jamaa ILAN RAMON anasema ardhi ya Dodoma haina afya na haifai kwa kilimoπ€£π€£..hajiulizi kwanini katika mikoa yote 31 Tanzania mradi upelekwe huko
Mambo kama haya Arusha mtaishia kuona kwenye video za Dodoma ππN
Nitakujibu ki sayansi kama unahitaji kuelewa ila kama umekariri ubishi endeleeni kupokea mchele wa wamarekani
Mambo kama haya Arusha mtaishia kuona kwenye video za Dodoma ππ
View: https://youtu.be/jg-TcQfr03o?si=meUtNyIuzHoBO9Be
View: https://youtu.be/574G6wj18dY?si=h5kt917_t04eSkfg
Akili zako ndio zimeishia hapo? πππ π€£ π π π π€£ π tulishavuka huko kuchimba malambo sisi
Angalia stats wapi kati ya Arusha na Dodoma kuna mazao ya chakula au biashara??Akili zako ndio zimeishia hapo? ππ
Tuonesheni shamba lolote la Umwagiliaji hapo Arusha
Akili zako ndio zimeishia hapo? ππ
Tuonesheni shamba lolote la Umwagiliaji hapo Arusha
Akili zako ndio zimeishia hapo? ππ
Tuonesheni shamba lolote la Umwagiliaji hapo Arusha
Akili zako ndio zimeishia hapo? ππ
Tuonesheni shamba lolote la Umwagiliaji hapo Arusha