kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,260
- 16,918
Binafsi nililidhishwa na utetezi alioutoa Mh. Sumaye dhidi ya tuhuma zinazoelekezwa kwa nd. Lowassa, ndio maana umati wote uliokuwepo pale Jangwani ulilipuka kwa vifijo, kila mtu ameelewa kuwa ufisadi uko ndani ya CCM bado na Lowassa ni mhanga tu wa ufisadi huo wa CCM, over!!